Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewaongoza wananchi wa Mji wa Songea kupiga kura za kuwachagua viongozi wa mitaa kwa kupiga kura katika Mtaa wa Mshujaa Kata ya Mjini Manispaa ya Songea
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Miembeni Kata ya Msamala Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakiwa kwenye foleni ya kupiga kura
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.