Pichani kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho wakiwa katika hafla ya utiaji saini mradi wa usanifu wa ujenzi wa uendelezaji wa Bandari ya Mbamba Bay katika Halmashauri ya Wilaya Nyasa mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 8 za ujenzi wa mradi ambao ujenzi wake unatekelezwa kwa muda wa mienzi 24
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.