Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza baada ya kusikiliza kero,maoni na mapendezo ya wanahabari mkoani Ruvuma kwenye kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mipango Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma .Kikao hicho kilihudhuriwa na waandishi wa habari na maafisa habari kutoka Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma. Kushoto pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma (RPC) Amoni Mtega.
Mkoa wa Ruvuma una wanahabari zaidi ya 150 wanaofanya kazi katika vituo kumi vya redio za kijamii,magazeti,luninga na mitandao ya kijamii
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.