MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametembelea mpaka wa Tanzania na Msumbiji eneo la Mkenda lililopo wilayani Songea umbali wa takribani kilometa 140 kutoka mjini Songea.Pamoja na mambo mengine Mndeme ameridhishwa na kazi nzuri zinazofanywa na Kituo cha uhamiaji cha Mkenda na kwamba ametoa motisha ya shilingi 500,000 kwa askari watano wanaolinda mpaka ili kuhakikisha kuwa hakuna mtu anayeingia mpakani kinyume cha sheria za nchi hasa katika kipindi hiki cha vita ya corona ambapo wageni wote wanatakiwa kuwekwa karantinii siku 14.
TAZAMA zaidi hapa wakati askari hao wanashaingilia kwa staili ya nyakua nyakua baada ya Mkuu wa Mkoa kutoa motisha hiyo https://www.youtube.com/watch?v=YUiwQmDL7WM
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.