MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaongoza mamia ya wanawake katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni KIZAZI CHA USAWA KWA MAENDELEO YA SASA NA BAADAYE.
Kaluli hiyo inalenga kuikumbusha,kuielimisha na kuihamasisha jamii ya Tanzania itambue na kujua umhimu wa kuwawezesha wanawake kushiriki katika michakato yote ya shughuli mbalimbali za maendeleo ili kuleta maendeleo chanya kwa wananchi katika sekta za kiuchumi na kijamii.TAZAMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=SjL_HPZ6jb4&t=4s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.