Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewataka wanafunzi wa shule mpya ya msingi Lipupuma kusoma kwa bidii kwani Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imewezesha kuweka mazingira mazuri ya kujifunza na kujifunzia ili wapate elimu bora kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla
Wito huo ameutoa wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kugakugua maudhurio ya wanafunzi walio ripoti shuleni hapo kwa mwaka huu 2024
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.