Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa kwenye boti ndani ya ziwa Nyasa wilayani Nnyasa.Ziwa Nyasa ni kitovu cha utalii mkoani Ruvuma likiwa limesheheni vivutio vya kila aina ambavyo vinavutia watalii wengi wa ndani na nje ya nchi.
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa amelala katika bustani ya mawe iliyopo eneo la Kihagara mwambao mwa ziwa Nyasa wilayani Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.