MKUU wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Wilman Ndile katikati pichani ametoa rai kwa watendaji Kata na vijiji kusimamia ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri.
Ametoa rai hiyo wakati anazungumza katika kikao kazi cha wataalam ngazi ya Ushauri ya Halmashauri ya Madaba ambapo ameagiza zoezi la ukusanyaji wa mapato liwe endelevu katika kata zote. ili kuongeza makusanyo ya mapato.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.