Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani RuvumaMhe Wilman Kapenjama Ndile amekabidhi vishikwambi kwa Waheshimiwa. Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya songea katika Mkutano wa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/2024 wa Baraza la Madiwani katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya songea.
Akikabidhi vishikwambi hivyo Mkuu wa Wilaya ya Songea ameiomba kamati iweze kuwafikiria Madiwani hao kuwaachia watumie tu vishikwambi hivyo hatakama muda wao wa kukaa madarakani utakuwa umekwisha kwani wanafanya kazi ngumu ya kuwahudumia wananchi hivyo hiyo kwao iwe kama motisha ya utendaji kazi wao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.