WAGENI 22 kutoka sekondari ya Mwanakwereke C Zanzibar wametembelea Mnara waliponyogewa mashujaa wa vita ya Majimaji uliopo maeneo ya Songea klabu katika Mji wa Manispaa ya Songea ikiwa sehemu ya ratiba waliyopangiwa wakati wa ziara yao ya kutembelea vivutio mbalimbali vyilivyopo mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.