UJIO WA MHE. RAIS SAMIA KWA UZINDUZI WA MRADI MKUBWA WA URANIUM
TAREHE: 30 Julai 2025
MAHALI: Wilaya ya Namtumbo
MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mhe. Rais anatarajiwa kuzindua rasmi mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya uranium mradi wa kimkakati unaolenga kuchochea ukuaji wa uchumi, ajira, na maendeleo ya viwanda katika Mkoa wa Ruvuma na Taifa kwa ujumla.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,
Kanali Ahmed Abbas Ahmed,
ametangaza ujio huu kama hatua ya kihistoria kwa maendeleo ya mkoa wetu.
#SamiaRuvuma2025
#RuvumaYajengwa
#UwekezajiUraniumNamtumbo
#KaziInaendelea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.