MKUU wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme amekemea tabia ya baadhi ya wananchi kuwahifadhi raia toka nchi za Malawi na Msumbiji hasa katika kipindi hiki cha mlipuko wa virusi hatari vya Corona.Amesema hadi kufikia Aprili 15,2020 walikuwa wanawashikilia watu zaidi ya 100 walioingia nchini kupitia mkoa wa Ruvuma na wapo katika karantini.TAZAMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=x-y89Wh0mrg
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.