MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme Februari 3,2020 anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kugawa vyeti kwa vijana 157 kati ya 793 waliohitimu mafunzo ya teknolojia ya kitalu nyumba katika Mkoa wa Ruvuma.Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika Maposeni Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.