Serikali imetoa shilingi milioni 560 kupitia Program ya Uboreshaji shule za Sekondari (SEQUP) kujenga sekondari mpya Kata ya Matarawe Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma,shule hiyo imekamilika na inachukua wanafunzi ambao wanafurahia mazingira rafiki ya kusomea katika shule hiyo.
Mradi wa shule mpya ya msingi iliyojengwa kupitia Mradi wa Uboreshaji Elimu ya Awali na Msingi BOOT katika Kata ya Matarawe Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 331 kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.