• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MRADI wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wakamilika

Imewekwa kuanzia tarehe: September 11th, 2022


MRADI WA KIMKAKATI BANDARI YA NDUMBI ZIWA NYASA WAKAMILIKA

MRADI wa kimkakati wa ujenzi wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma umekamilika.

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangasongo amesema mradi huo umetekelezwa na Kampuni ya CHICCO ambao umegharimu zaidi ya shilingi bilioni 12.

Amesema mradi ulikuwa unatekelezwa kwa mkataba wa miezi 22 ambapo ujenzi wake ulianza Desemba 2019 na kukamilika  Februari 2022.

“Mradi huu umekamilika kwa asilimia 100,hata hivyo hivi sasa upo katika kipindi cha  uangalizi cha mwaka mmoja na mradi upo tayari kwa ajili ya matumizi’’,alisema Mangasongo.

Amelitaja lengo la Mamlaka ya Bandari Tanzania  kuanzisha mradi huo kuwa lilikuwa ni  kwa ajili ya kusafirisha shehena ya makaa ya mawe kutoka mgodi wa makaa ya mawe Ngaka wilayani Mbinga hadi bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa.

Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema kukamilika kwa mradi huo kutachochea maendeleo ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma nan chi jirani za Msumbiji na Malawi.

RC Thomas  amesema uwekezaji uliofanyika katika utekelezaji wa ujenzi ya bandari ya Ndumbi ni mkubwa kwa sababu serikali imetumia mabilioni ya fedha kutekeleza mradi huo wa kimkakati.

Amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutekeleza kwa vitendo Ilani ya CCM kwa sababu  mradi huo unakwenda kufungua fursa mpya za uwekezaji mkoani Ruvuma.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ruvuma

Septemba 11,2022

 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBINGA-MBAMBABAY : barabara inayojenga utalii kwenye milima ya Kusini

    June 01, 2025
  • PICHA ya Rais Samia yapamba mti wa kihistoria Namtumbo

    June 01, 2025
  • TAIFA lamlilia Songambele Shujaa wa Uhuru aliyeishi karne moja

    June 01, 2025
  • SHAMBA la AVIV Tanzania ni mfano wa kuigwa nchini

    June 01, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.