Utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji elimu ya awali na msingi (BOOST) katika Shule ya Msingi Mahanje Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma unaojengwa kwa Shilingi Milioni 53,100,00/= umefikia asilimia 90.
Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Bahati Mkinga amesema mradi huo hadi kufikia sasa umefikia hatua ya umalizia na kufukia asilimia 90 na kutarajia kukamilika siku chache zijazo.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 7.7 kupitia mradi wa uboreshaji elimu ya awali na Msingi mkoani Ruvuma ambapo miradi hiyo hadi sasa i katika Halmashauri zote nane ipo katika hatua za umaliziaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.