Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Jackson Kiswaga imetembelea na ,kukagua mradi wa maji Ngumbo wilayani Nyasa ambao unatekelezwa kwa gharama ya shilingi biliioni 2.5
Kamati ya Kudumu ya Bunge na Maji ikiwa katika mradi wa maji Malungu Kata ya Tngi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma,mradi huu ambao umegharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.2 umefikia asilimia 80 ya utekelezaji na unatarajia kuwahudumia wananchi zaidi ya 9,000
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.