BOHARI ya Dawa (MSD) Kanda ya Iringa inahudumia vituo vya kutolea huduma ya afya 254 katika Mkoa wa Ruvuma.Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed wakati anazungumza kwenye kikao cha wadau wa afya wanaohudumiwa na MSD Kanda ya Iringa kilichofanyika kwenye hoteli ya Hunt-club mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.