• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MSUMBIJI itakavyounganishwa na uwanja wa Ndege Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: March 30th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema utakapokamilika mradi wa ujenzi wa barabara ya lami nzito kutoka Likuyufusi hadi Mkenda mpakani mwa Tanzania na Msumbiji itakuwa ni fursa kwa wananchi wa Msumbiji kuutumia uwanja wa ndege Songea hivyo kuongeza uchumi wa Mkoa na Taifa.

Kanali Abbas amesema hayo wakati anazungumza katika Kituo cha Uhamiaji cha Mkenda wilayani Songea baada ya kukagua miundombinu ya barabara hiyo  yenye urefu wa Zaidi ya kilometa 120.

Amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa  kutenga Zaidi ya shilingi bilioni 74  kuanza kutekeleza awamu ya kwanza ya ujenzi wa barabara ya lami kilometa Zaidi ya 60 kuanzia Likuyufusi hadi njia panda ya Muhukuru wilayani Songea.

“Tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa kuamua kuunganisha Mkoa wa  Ruvuma  na nchi ya Msumbiji kwa kuanza kujenga barabara ya lami kilometa 60 ’’,alisema RC Abbas.

Mkuu wa Mkoa pia amemshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa fedha za upanuzi na ukarabati wa uwanja wa Ndege Songea ambapo serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 37 kutekeleza mradi huo.

Hata hivyo amesema  ujenzi  barabara ya Likufusi - Mkenda mpakani na nchi ya Msumbiji,itakuwa fursa kwa wananchi wa nchi hiyo kutumia barabara hiyo hadi mjini Songea kisha kutumia uwanja wa ndege  wa Songea kusafiri  sehemu mbalimbali nchini.

Amesisitiza kuwa Rais Samia amewaagiza kuzitumia fursa zilizopo mkoani Ruvuma kwa  kutoa fursa na kufungua  shughuli za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma  bila kuathiri suala zima la ulinzi na usalama katika Mkoa ambao upo mpakani na nchi za Msumbiji na Malawi.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.