Muonekano wa hospitali ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambayo inatoa hudumu zote muhimu kwa wananchi wa Mbambabay na wilaya ya ya Nyasa kwa ujumla.Kabla ya hospitali hiyo wananchi wa wilaya ya Nyasa walikuwa wanasafiri umbali mrefu kufuata huduma za matibabu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.