Hiki ni kisiwa cha Lundo chenye ukubwa wa hekta 20 kilichopo ziwa Nyasa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma,kisiwa hiki kimesheheni utajiri mkubwa wa historia ya ya Tanganyika kwa sababu kilitumika na wakoloni wa kijerumani kuhifadhi watu waliopata ulemavu kutokana na ugonjwa wa ukoma baada ya kumalizika vita ya Majimaji ilioanza mwaka 1905 hadi 1907 hivyo wenye ukoma walianza kuhifadhiwa kwenye kisiwa hicho kuanzia mwaka 1908.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.