KIONGOZI wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji safi katika Gereza la Kitai Halmashauri ya Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 562.
Mradi huo unaotekelezwa na RUWASA unatarajia kuhudumia wakazi 1,468 katika jamii inayoishi eneo la Gereza hivyo kuondoa adha kubwa ya maji na kupunguza magonjwa ya milipuko.
Hata hivyo hadi sasa mradi umefikia asilimia 30
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.