Mwenge wa Uhuru 2023 ulipotembelea katika chanzo cha Mto Ruvuma kilichopo msitu wa Matogoro Manispaa ya Songea Aprili 20,2023 ukiwa katika Manispaa ya Songea ambako ulikagua miradi kumi yenye thamani ya shilingi bilioni 2.7
Mto Ruvuma wenye urefu wa kilometa 800 unaanzia kwenye milma ya Matogoro Manispaa ya Songea na kuzunguka wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma kisha kumwaga maji katika katika Bahari ya Hindi mkoani Mtwara.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.