Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameridhia kuweka jiwe la msingi barabara ya lami nyepesi ya Mjimwema Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma yenye urefu wa Kilometa 2.2 iliyogharimu shilingi bilioni moja.
Akitoa taarifa ya mradi huo kwa Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru 2023,Meneja wa TARURA Wilaya ya Mbinga Mhandisi Oscar Musa amesema mradi umekamilika Desemba 2022 na kwamba hivi sasa upo katika kipindi cha matazamio hadi Desemba 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.