MWENGE wa Uhuru Kitaifa 2023 bado upo mkoani Ruvuma ambapo hadi sasa tayari umekagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri sita kati ya nane zilizopo mkoani Ruvuma
Aprili 22,2023 Mwenge wa Uhuru umekagua miradi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga na umeridhia miradi yote kwa kufungua,kuzindua na kuweka mawe ya Msingi.
Mwenge wa Uhuru Kitaifa ulianza mbio zake mkoani Ruvuma Aprili 17,2023 na unatarajia kukamilisha mbio zake Aprili 25,2023 utakapokabidhiwa mkoani Njombe
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.