KIONGOZI Wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdallah Shaib Kaim ameridhia kuweka jiwe la mradi wa ujenzi wa Kituo cha afya cha Misheni Matiri katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ambacho kinatarajia kutumia shilingi milioni 600 hadi kitakapokamilika kwa asilimia 100.
Hata hivyo Askofu wa Jimbo katoliki la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akitoa taarifa ya mradi huo amesema mradi huo hadi sasa umetumia zaidi ya shilingi milioni 438 na umefikia asilimia 73
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.