Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Manispaa ya Songea umetembelea mradi wa maji Mtaa wa Pambazuko Kata ya Tanga unaogharimu Zaidi ya shilingi milioni 578 wenye uwezo wa kuhudumia wananchi wapata0 15,990.Mradi huo unatekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Ustawi wa Mazingira Songea (SOUWASA) kwa kushirikiana na Wizara ya Mazingira.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.