KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalah Shaib Kaim ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa jengo la dharura EMD katika hospitali ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma baada ya kuridhishwa na ujenzi wa mradi huo ambao hadi sasa serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 334 kutekeleza mradi huo ambao hadi sasa umefikia asilimia 95 ya utekelezaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.