• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MWENGE wa Uhuru watembelea miradi ya milioni 560 Namtumbo.

Imewekwa kuanzia tarehe: April 19th, 2022

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2022 Ndugu Sahil Nyanzabara Geraruma amekagua Miradi minne na kuzindua Miradi mitano ya maendeleo yenye thamani ya shilingi Milioni 560.5 Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma.

Akizungumza wakati wa Uzinduzi na ukaguzi huo amepongeza usimamizi wa Miradi na kuwataka viongozi wa Wilaya ya Namtumbo kuendelea kusimamia Miradi hiyo ya Serikali.

Ndugu Sahili Geraruma amekagua vibanda  vya vikindi vinavyojihusisha na huduma ya utoaji elimu ya lishe kwa jamii, amekagua klabu ya wanafunzi ya kupinga rushwa katika shule ya sekondari Nasuli, amekaguac chanzo cha chemichemi ya maji kilichoifadhiwa katika kijiji cha Luegu pamoja na kukagua Mradi wa uwezeshaji vijana wa mashine ya kukamulia mafuta ya alizeti kijiji cha Mkongo mwinuko.

Pia amezindua Mradi wa ujenzi wa madarasa manne katika shule ya sekondari Nanungu, amezindua kiwanda cha kuchakata mazao, amezindua zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa akina mama wajawazito na wenye watoto wachanga, amezindua zoezi la uwekaji anwani za makazi na postikodi pamoja na uzinduzi wa nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha Nyalamatata.

“Ndugu wananchi Mwenge wa Uhuru umekua ni kichocheo kikubwa cha maendeleo na unaendelea kutuhamasisha juu ya kudumisha amani na upendo”, amesema Sahil Geraruma.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Dkt Julius Kenneth Ningu amemshukuru Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa kuukimbiza mwenge Wilaya ya Namtumbo salama pia amehaidi kutekeleza maagizo aliyopewa na kuendelea kutimiza majukumu ya Serikali .

Mwenge wa Uhuru ukiwa Wilayani Namtumbo umekimbizwa umbali wa Kilomita 217 na kupita katika kata 11  kati ya kata 21 za Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo tarehe 14 Aprili 2022.

Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2022  “Sensa ni Msingi wa mipango ya maendeleo shiriki kuhesabiwa tuyafikie malengo ya Taifa”.

Imeandaliwa na Bahati Nyoni

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Aprili 19 2022.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.