Mwenge wa Uhuru 2024 umeweka jiwe la msingi katika mradi wa maji ya mtiririko katika kijiji cha Lipaya Kata ya Mpitimbi Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 3.4 kutekeleza mradi huo ambao unatekelezwa katika vijiji vya Lipaya,Lipole na Kizuka ambapo mradi unatarajia kuhudumia wananchi wapatao 10,394 kutoka katika vijiji hivyo.
Hata hivyo katika kijiji cha Lipaya mradi huo unagharimu shilingi bilioni 1.9 na unatarajia kuhudumia wananchi wapatao 3,886,ambapo katika kijiji cha Lizuka mradi unagharimu zaidi ya shilingi milioni 730 na katika katika kijiji cha Lipokela Mwenge wa Uhuru unatarajia kugharimu zaidi ya shilingi milioni 734.
Mwenge wa Uhuru umeridhia kuweka jiwe la msingi katika mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.