• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MWENGE WA UHURU waweka jiwe la msingi mradi wa maji Tuwemacho

Imewekwa kuanzia tarehe: June 8th, 2024

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mnzava ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji uliopo katika Kijiji cha Tuwemacho  Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma  mradi ambao unatekelezwa kwa kiasi cha sh. Bilioni 1,054,232,603.55 na mpaka sasa kiasi cha sh. 138,134,890.00 zimetumika kumlipa mkandarasi.

Mradi huo  ambao unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) umesanifiwa kuhudumia wananchi  wapatao 3527  katika Kijiji cha Tuwemacho.

Awali akiweka jiwe la msingi  mradi huo  kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mnzava alisema kuwa ameridhishwa na mradi huo baada ya kukagua miundombinu, Nyaraka na kuangalia usimamizi ulikuwaje hivyo Mwenge wa Uhuru umejiridhisha na usimamizi wote uliofanyika kwenye mradi huo pasipo na shaka yoyote.

" Nitoe angalizo kwa wananchi ambao tunapata huduma hii muhimu ya maji, tuwe makini kutunza miundombinu hii, tuwe makini kutunza vyanzo vya maji na mabomba ambayo yanatupatia huduma hii muhimu sisi sote tunajuwa kwamba maji ni huduma muhimu sana na uwepo wa maji unaleta faraja kubwa sana kama tunavyoona akina mama wanashangilia kwa kuwa mradi huu umetakuwa na manufaa makubwa" alisema Mnzava.

Akisoma taarifa Taarifa ya mradi huo kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Injinia Maua Mgallah alisema kuwa mradi huo wa maji ulianza January 5/2024 na kutarajiwa kukamilika Julai 4 mwaka huu.

Alisema kuwa lengo la mradi huo ni kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la ukosefu wa huduma ya maji katika Halmashauri  ya Wilaya ya Tunduru.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.