Mwenyekiti wa Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma Mheshimiwa Teofanes Mlelwa ameongoza kikao cha Baraza la madiwani la Halmashauri hiyo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Madaba ambapo amewakumbusha watumishi kuhakikisha kuwa wanakamilisha kazi ya kukamilisha majibu ya Hoja za CAG kabla ya tarehe ya mwisho na kuwataka watendaji wa kata kwenda kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.