Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Odo Mwisho akitoa salamu za Chama hicho kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambazo kimkoa zimefanyika mjini Mbambabay Wilaya ya Nyasa.Pamoja na mambo mengine Komredi Oddo Mwisho amewaasa wanawake kupendana na kushirkiana ili kukuza shuhghuli zao za kiuchumi huku akitoa rai kwa wadau wa maendeleo kuwaunga mkono wanawake kwa kununua bidhaa ambazo wanazalishaji kupitia shughuli za ujasiriamali
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.