Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde ameagiza miradi yote ya elimu ambayo haijakamilika kuhakikisha inakamilika kwa asilimia 100 ifikapo Desemba 15 mwaka huu.
Dkt Msonde ametoa agizo hilo baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Kata ya Matarawe iliyopo Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma ambapo serikali kupitia program ya SEQUIP imetoa shilingi milioni 560 kutekeleza mradi
Dkt Msonde yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kazi katika Wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.