Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde anaendelea na ukaguzi wa miradi ya elimu katika Mkoa wa Ruvuma.
Imemlazimu Dkt Msonde wa kwanza kulia picha ya juu kukagua usiku mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea ambayo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 500 kujenga shule hiyo ambayo imekamilika na kuanza kutumika.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.