Wanafunzi wa sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo Namtumbo mkoani Ruvuma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde.
Dkt Msonde amekagua ujenzi wa sekondari hiyo ambayo hadi sasa serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni nne .sekondari hiyo ikikamilika ina uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.