Picha kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas mjini Songea.
Dkt Msonde yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu
Wengine pichani kushoto ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Ruvuma Edith Mpinzile akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.