Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula anafanya ziara ya siku moja katika Manispaa ya Songea siku ya Jumatano Februari 24 mwaka huu ambapo pamoja na mambo mengine atazungumza na wananchi wa mjini Songea kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.Naibu Waziri atazungumzia masuala mbalimbali ya ardhi na makazi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.