Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahund amesemai serikali inachukua hatua za muda mfupi na mrefu kupunguza na kuondoa changamoto za maji wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.Mhandisi Mahundi ametoa kauli hiyo wakati anazungumza kwa nyakati tofauti katika ziara ya kikazi ya siku mbili wilayani Nyasa ambapo amesema serkali wiki hii kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji inapeleka shilingi milioni 300 ikiwa ni hatua za haraka kukabiliana na upungufu wa maji wilayani Humo.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=X9EKOpzV4wo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.