Pichani kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Mheshimiwa Julius Mtatiro akikabidhi cheti kwa uongozi wa Kata ya Nakapanya kwa jyfaniukisha utekeleza wa viashiri a vya mkataba wa lishe kwa robo ya mwaka.
Mkoa wa Ruvuma licha ya kuongoza katika uzalishaji wa chakula nchini,ni miongoni mwa mikoa mitano nchini inayoongoza kwa udumavu na utapiamlo ambapo serikali ya Mkoa imedhamiria kuhakikisha Mkoa huo unatokomeza udumavu na utapiamlo kwa kutoa elimu ya lishe kikamilifu kwa wananchi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.