Ukarabati wa Uwanja wa Ndege Songea upo katika hatua za mwisho ambapo sasa ndege zitatua usiku na mchana.
Meneja wa Uwanja wa Ndege Songea Jordan Mchami amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 37 kupanua na kukarabati uwanja huo.
Amesema idadi ya abiria wanaosafiri na ndege ya ATCL imeongezeka ambapo hivi sasa kila safari inakuwa na abiria 70 kati ya 76 wanaotakiwa kwenye ndege aina ya bombadier na kwamba safari za ndege ni mara taru kwa wiki.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.