SHIRIKA la ndege Tanzania ATCL linaanza kuleta ndege na kutua kwenye uwanja wa Songea mkoani Ruvuma kwa mara ya kwanza Februari 17 mwaka huu.Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songea Jordan Mchami amesema ndege hiyo itakuwa inatua mara mbili kwa wiki siku ya Jumatano na Jumapili,ambapo ametoa rai kwa wakazi wa Mkoa wa Ruvuma safari za ndege za serikali kurahisisha usafiri na usafirishaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.