Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt, Damas Ndumbalo amewapongeza na kuwasihi wahitimu wa ngazi mbalimbali wa chuo kikuu Huria kuituma elimu waliyoipata katika kuitatua changamoto za jamii.
Wito huo ameutoa kwenye mahafali ya 42 ya chuo kikuu Huria ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Ruvuma ambapo jumla ya wahitimu 3754 wamemaliza masomo yao na kutunikiwa vyeti na Mkuu wa chuo ambaye ni Mheshimiwa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Peter Pinda.
“Leo mmeweza kuhitimu na mmepata vyeti mkaitumie elimu hiyo kwa faida ya jamii kwa faida ya familiya zenu ili mkatatue changamoto zinazoikabili jamii yetu ya kinzania na hapo ndipo tutakapo pata eshima kama wasomi wa chuo kikuu”
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.