Wakulima wa zao la ufuta Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wameuza ufuta wao wote Kilo 637,088 ulioingia sokoni katika mnada wa Saba kwa bei wastani ya shilingi 3,305.
Mnada huu umefanyika katika kata ya Mchangani wilayani Tunduru ambapo jumla ya wanunuzi watatu walijitokeza kuomba zabuni ya ununuzi wa ufuta kilo 637,088 ambazo zilikuwa zimeingia sokoni katika mnada huu.
Aidha, mnada huu ulikuwa na wanunuzi watatu (03) walifanikiwa kushinda zabuni hii ya ununuzi wa ufuta kwa bei ya juu shilingi 3,330 na bei ya chini shilingi 3,250 kufanya bei wastani kuwa shilingi 3,305
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.