MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametoa rai kwa wakulima mkoani Ruvuma kuacha kuuza mazao kwa watu wanaonunua mahindi kwa bei ya chini badala yake wapeleke kuuza mahindi hayo katika kituo cha NFRA Kanda ya Songea ambacho kinatarajia kufungua msimu wa kununua mazao hivi karibuni.RC Ibuge alikuwa anazungtumza na wananchi wa kata za Luchili na Mkongogulioni wilayani Namtumbo alipofanya ziara ya kikazi illiyolenga kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa maabara za shule za sekondari na vituo vya kutolea huduma za afya.
SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=F-ePi8r2QCw
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.