Naibu Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Husein Bashe amesema serikali kupitia NFRA inatarajia kuanza kununua mahindi kwa bei ya shilingi 500 kwa kilo kuanzia Agosti Mosi mwaka huu.Bashe amesema hayo katika ziara yake mkoani Ruvuma akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=8OBaHOLP9no
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.