MFUMO wa asili wa kilimo cha kuhifadhi mazingira ulianzishwa na wakazi wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma zaidi ya miaka 300 iliyopita.Mfumo huu wa kilimo unasaidia kuhifadhi mazingira kwenye kilimo chenye miteremko mikali wilayani Mbinga.Wengi wanakwenda kujifunza kilimo hiki katika Wilaya ya Mbinga.Soma makala kwa kina hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2021-06-0360b8f056d9393.aspx
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.