MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme anafungua maonesho ya nanenane Mkoa wa Ruvuma yanafanyika kwenye viwanja vya nanenane Msamala Manispaa ya Songea.Maonesho ya mwaka huu yamesheheni vitu mbalimbali vilivyoletwa na wakulima na wajasirimali.Nguruwe huyo mwenye umri wa mwaka mmoja akiwa na uzito wa kilo 340 ni kivutio katika maonesho ya mwaka huu.Ili kujua zaidi kuhusu nguruwe huyo
Tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=px4s5uVNg_Y&t=56s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.