Maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Ruvuma na maeneo yake wametokelezea kwa wingi, wakiwa na hamasa na furaha tele, kumshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano mkubwa uliofanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea .
Mkutano huo umehitimisha ziara yake ya siku sita mkoani Ruvuma ya kukagua maendeleo na jinsi Ilani ya CCM inavyotekelezwa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.