MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amepokea Tuzo kutoka kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa mkoa wa kwanza nchini kwa uzalishaji wa mazao ya nafaka.
Akizungumza na wananchi wa Kata ya Mputa Wilayani Namtumbo Kanali Thomas alisema amepokea Tuzo hiyo kwa niaba ya wakulima wote wa Mkoa wa Ruvuma kwa sababu wao ndiyo wazalishaji wa mazao ya chakula na biashara.
Kwa miaka mitano mfululizo Mkoa wa Ruvuma umekuwa unaongoza kitaifa kwa uzalishaji wa mazao ya chakula hivyo kuwa kapu la Taifa la chakula nchini
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.